Wednesday, August 21, 2024

ONLY HOPE CAMPAIGN - DODOMA DAY 1

Ungana nasi katika mkutano mkubwa wa injili, unaoendeshwa na huduma ya Only Hope Campaign chini ya muinjilisti wa kimataifa Godwin Mujaki kutokea kanisa la Tanzania Assemblies of God Msewe Revival Christian Centre.

No comments:

Post a Comment