University services

TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NJEMA KABISA,  NA PIA TUMEKUWA NA UGENI MKUBWA WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM,






IBADA ILICHANGAMKA SANA KWA UJIO WAO WATU WENGI WAMEWEZA KUBALIKIWA NA KUJIFUNZA MAMBO MENGI KUTOKA KWAO



MAPOKEZI MAKUBWA YA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KATIKA VYUO VIKUU.

Kulifanyika mapekezi makubwa sana  ya wanafunzi wa vyuo vikuu katika kanisa la Msewe Christian
Revival Centre. Idadi ya namba ya wanafunzi ina zidi kuongezeka kwa kasi ya hali ya juu.











1 comment:

  1. YES LET OUR FELLOW STUDENTS ENJOY THE BEAUTY OF OUR ALMIGHT GOD @ MCRC. WE LOVE YOU BRETHRENS....... KARIBU SANA NA TUNAWAPENDA

    ReplyDelete