Tuesday, January 6, 2015

KWAYA YA WWK

KWAYA YA WWK YA KANISA LA MCRC , IKIWA INA HUDUMU IBADANI . KWAYA HII MUNGU AMEKUWA AKIINUA KUTOKA HATUA MOJA KWENDA HATUA NYINGINE








IBADA YA MWAKA MPYA

TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA YA BARAKA SIKU YA MWAKA MPYA. MUNGU ALIONEKANA KWA NAMNA YA PEKEE






MKESHA WA MWAKA MPYA

TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NZURI YA MKESHA WA MWAKA MPYA. WATU WAMESHUHUDIA UTENDAJI WA MUNGU WA MWAKA 2014. PIA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA SIKU HIYO KUNA MTU AMEMPA YESU MAISHA YAKE. ILIKUWA NI MKESHA WA BARAKA.






CHRISTMAS DAY

WANAFUNZI WA VYUO MBALI MBALI HAPA DAR ES SALAAM WAJUMUIKA KWA MCHUNGAJI WA KANISA LA MSEWE CHRISTIAN REVIVAL CENTRE KUSHEREKEA SIKUKUU YA CHRISTMAS









Monday, January 5, 2015

SIKU YA KUMPONGEZA MCHUNGAJI

Tunamshukuru Mungu , Tulikuwa na Jumapili nzuri ya kumpongeza Mch. na mama mchungaji wa kanisa la Msewe Christian Revival Center.