KIKAO CHA KANISA
KANISA KAMA KANISA LINAITAJI KUWA NA MIPANGO NA MPANGO MMOJA WAPO NI KUAKIKISHA KILA MTU ANATIMIZA AGIZO LA YESU LA KWENDA KUHUBIRI WATU WAOKOKE. TUNAMSHUKURU MUNGU LEO TUMEKUWA NA KIKAO CHA KANISA , KILA MTU AMEJAZA FOMU INAYOWEZA KUMSAIDIA KATIKA KUTIMIZA AGIZO LA YESU.
No comments:
Post a Comment