Tuesday, January 6, 2015
IBADA YA MWAKA MPYA
TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA YA BARAKA SIKU YA MWAKA MPYA. MUNGU ALIONEKANA KWA NAMNA YA PEKEE
MKESHA WA MWAKA MPYA
TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEKUWA NA IBADA NZURI YA MKESHA WA MWAKA MPYA. WATU WAMESHUHUDIA UTENDAJI WA MUNGU WA MWAKA 2014. PIA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUWA SIKU HIYO KUNA MTU AMEMPA YESU MAISHA YAKE. ILIKUWA NI MKESHA WA BARAKA.
CHRISTMAS DAY
WANAFUNZI WA VYUO MBALI MBALI HAPA DAR ES SALAAM WAJUMUIKA KWA MCHUNGAJI WA KANISA LA MSEWE CHRISTIAN REVIVAL CENTRE KUSHEREKEA SIKUKUU YA CHRISTMAS
Monday, January 5, 2015
SIKU YA KUMPONGEZA MCHUNGAJI
Sunday, November 23, 2014
MAHAFALI YA MAMA MCHUNGAJI
TUNAMSHUKURU MUNGU MAMA MCHUNGAJI WA KANISA LA
MSEWE CHRISTIAN REVIVAL CENTRE (MCRC)
AMEHITIMU MAFUNZO KATIKA CHUO KIKUU CHA BIBLIA
Friday, July 25, 2014
Msewe Christian Revival Centre MCRC
![]() |
| Rev.Godwin Mujaki and His Wife Scolla Godwin |
Here at MCRC we are committed to God and building one another through worship and the ministry. Preaching Gospel is our highest goal.We are fellowship
with purpose of honoring God and advancing the Kingdom of God. Thanks for
Visiting our Website WE LOVE YOU.
Subscribe to:
Posts (Atom)
