SABABU TANO ZA KUAMINI KUWA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU NI MUHIMU KWA KANISA LA SASA.Sababu hizo ni kama ifuatavyo
1.Ulikuwa ni ujumbe wa kwanza kwa Mtume Paulo kwa wale wanafunzi kumi na mbili kwa Effeso
MATENDO YA MITUME 19:1-7
2.Ulikuwa ni ujumbe wa mwisho wa Yesu katika kanisa
MATENDO YA MITUME 1:8
3.Hata Maria mama yake Yesu alihitaji nguvu za Roho Mtakatifu
MATENDO YA MITUME 1:13-14
4.Ndio ilikuwa ahadi pekee katika biblia inayopewa umuhimu
MATENDO YA MITUME1:4
5.Yesu mwenyewe aliamua kufanya huduma kwa nguvu na upako katika roho mtakatifu
Luka 3:21
No comments:
Post a Comment