Saturday, April 4, 2015

KUBADILISHWA NA DHIKI

Tunamshukuru Mungu Jumapili ya leo tumekuwa na ibada ya kipekee iliongozwa na mchungaji wa kimataifa Yohan Suleiman. Alihubiri ujumbe unaoitwa "kubadilishwa na dhiki". Watu wengi wamekuwa wakipitia dhiki mbali mbali maishani mwao, wanasahau kuwa Mungu yupo anaeweza kubadilisha dhiki wanazopitia kuwa furaha. Tumtumaini Mungu katika maisha yetu naye atatubadilisha katika dhiki zetu. Jumapili hii watu wengi walibalikiwa na ujumbe huu, wengi waliokoka na wagonjwa waliponywa.





No comments:

Post a Comment