Saturday, April 4, 2015

ROHO MTAKATIFU

Tunamshukuru Mungu Leo tumekuwa na ibada ya baraka sana iliongozwa na mtumishi wa Mungu mama mchungaji Scolla Mujaki. WAtu wengi waliokoka na kufunguliwa, wengi walijaa Roho Mtakatifu.
Kichwa cha ujumbe kilikuwa ni "ROHO MTAKATIFU".
KWA NINI TUJAZWE NA ROHO MTAKATIFU?
1.Tunajazwa na Roho Mtakatifu ili tuweze kuishi maisha kama aliyoishi Yesu
2. Ili tuweze kuishi maisha safi na Matakatifu
3. Mungu anataka tuwe na upendo
Bila Roho Mtakatifu atutaweza kutimiza mapenzi ya Mungu.










No comments:

Post a Comment