MAOMBI YA VIKUNDI
Tunamshukuru Mungu kwa Jumapili ya leo, ameweza kuonekana kwa namna ya ajabu sana, pia Mungu ametuwezesha kufanikisha zoezi la kupanga vikundi vya maombi. Ili mambo yatendeke tunahitaji kuomba kwa bidii sana
1 Wafalme 18:24 Nanyi ombeni kwa jina la Mungu wenu, nami nitaomba kwa jina la Bwana; na Mungu yule ajibuye kwa moto, na awe ndiye Mungu. Watu wote wakajibu wakasema, Maneno haya ni mazuri.
No comments:
Post a Comment