Monday, May 11, 2015

TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU

TUNAMSHUKURU MUNGU TULIKUWA NA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU SIKU YA JUMAPILI. TAMASHA HILI  LILIANDALIWA NA KIKUNDI CHA "THE POWERFUL PRAISE", WATU WENGI WALIJUMUIKA PAMOJA NASI KATIKA SIFA NA KUABUDU, HAKIKA MUNGU ALIONEKANA.

Yohana 4:23Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.












GET READY

WE THANKS GOD FOR THIS WONDERFUL DAY , TODAY WAS CMF(MEN'S) DAY NATIONAL WIDE IN ALL TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD CHURCHES.
HERE AT MCRC WE HAD A GREAT SERVICE WHICH WAS HELD BY A MAN OF GOD MR. MWANZALIMA. THE TITLE OF THE MESSAGE WAS Get ready.


WE AS CHRISTIANS WHO ARE WAITING FOR JESUS TO ARRIVE, WE MUST BE READY SO AS WHEN HE COMES HE FIND US WE ARE READY TO GO WITH HIM.

 
SOME THINGS TO CONSIDER

1.There must be a power that will enable you to wait for the Lord
2.The salvation is free, but the life of salvation requires to give your time to Christ
3. In order to get ready , carry your oil(Holy Spirit) MATTHEW 25:1-13
4. Dont ask for simple things, ask for the power to confront hard things









THE POWER OF THE PROMISE

WE THANKS GOD FOR THIS WONDERFUL DAY GOD HAS GRANTED US TO SEE, TODAY WE HAD A GREAT SERVICES WHICH WAS MINISTERED BY PASTOR GODWIN MUJAKI AT MCRC. HE TAUGH ABOUT 



THE POWER OF THE PROMISE

1.Promises in the history
Exodus 34:22
2.God implanted the church for the harvest of the world

GOD PROMISES AS THE PROMISE OF THE HOLY SPIRIT THAT HE WILL COME TO US AFTER JESUS IS GONE, THIS WAS THE PROMISE WHICH JESUS WENT BACK TO HEAVEN , AND THE FOLLOWING ARE THE RESULTS OF BEING FILLED WITH THE HOLY SPIRIT


The results of being filled with the holy spirit

1. A person is impower to testisfy the good news of jesus

2. The gifts of the profets start

3. The falling of the holy spirit 

4. Holyness obdience and rigousness is born

5. The level of revelence to God is born6. The level of diversion to God is born

7. The deciples where speaking in toungue








Sunday, May 10, 2015

UMUHIMU WA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU

Tunamshukuru Mungu tulikuwa na ibada ya baraka sana iliongozwa na mtumishi wa Mungu mama mchungaji Scolla Mujaki. alihubiri ujumbe mzuri sana juu ya 


SABABU TANO ZA KUAMINI KUWA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU NI MUHIMU KWA KANISA LA SASA.Sababu hizo ni kama ifuatavyo

1.Ulikuwa ni ujumbe wa kwanza kwa Mtume Paulo kwa wale wanafunzi kumi na mbili kwa Effeso
MATENDO YA MITUME 19:1-7

2.Ulikuwa ni ujumbe wa mwisho wa Yesu katika kanisa
MATENDO YA MITUME 1:8

3.Hata Maria mama yake Yesu alihitaji nguvu za Roho Mtakatifu
MATENDO YA MITUME 1:13-14

4.Ndio ilikuwa ahadi pekee katika biblia inayopewa umuhimu
MATENDO YA MITUME1:4

5.Yesu mwenyewe aliamua kufanya huduma kwa nguvu na upako katika roho mtakatifu
Luka 3:21





Thursday, May 7, 2015

ROHO MTAKATIFU

Tunamshukuru Mungu kwa siku ya leo , tumekuwa na ibada njema sana iliyo ongozwa na mtumishi wa Mungu MCHUNGAJI ERASTO KIHONGO. Alifundisha juu ya Roho MtakatifuAndiko kuu lilikuwa Matendo 1:8

MAMBO MATATU YA KUJIFUNZA KWENYE MATENDO 1:8

1.Ahadi za nguvu zinazotokana na Roho Mtakatifu

2. Makusudi ya nguvu za Roho Mtakatifu kuwa shahidi

3. Muongozo baada ya kupokea Roho na kuwa shahidi unaelekea wapi

SIFA ZA ROHO MTAKATIFU

1. Yeye ni wa milele Waebrania 9:14

2. Uungu wa kila mahali  Zaburi 139:1-10

3. Anazosifa za kuwa na nguvu zote Luka 1:35

4. Anajua yote 1 kor 2:10-11 

5. Utendaji wake pamoja na Mungu Mwanzo 1:2 Ayubu 33:4

6. Anazaa upyaYohana 3:5-8

7. Anacheo sawa na Baba na Mwana1 kor 12:4-6

    Wakorinto 13:14Mathayo 28:9 Ufunuo 1:4







UJAZO WA ROHO MTAKATIFU

Tunamshukuru Mungu Jumapili hii Mungu ameonekana kwa namna ya tofauti sana, Mchungaji Eliya lugwami alihubiri juu ya Roho Mtakatifu.Moja ya kitu alicho sema ni "Wajibu wa mkristo baada ya kumpokea Yesu kristo,ni kupokea Roho wa Mungu"  hii ni kweli maana kama ilivyoandikwa katika kitabu cha " Matendo ya mitume 1: 8 Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi." 

Roho Mtakatifu anakazi nyingi kwa mtu aliyeokoka, kama,
1. kututia nguvu/ kutuwezesha
2. Kutuongoza
3. Kutuchukua na kututia kwenye kweli yote
4. Kutukumbusha
5.Kutuombea
6. Kutuwezesha kujua tuliyo kirimiwa
7. Kutupasha habari ya mambo yajayo
pia unaweza ukapitia haya maandiko kwa uwelewa zaidi