ROHO MTAKATIFU
Tunamshukuru Mungu kwa siku ya leo , tumekuwa na ibada njema sana iliyo ongozwa na mtumishi wa Mungu MCHUNGAJI ERASTO KIHONGO. Alifundisha juu ya Roho MtakatifuAndiko kuu lilikuwa Matendo 1:8
MAMBO MATATU YA KUJIFUNZA KWENYE MATENDO 1:8
1.Ahadi za nguvu zinazotokana na Roho Mtakatifu
2. Makusudi ya nguvu za Roho Mtakatifu kuwa shahidi
3. Muongozo baada ya kupokea Roho na kuwa shahidi unaelekea wapi
SIFA ZA ROHO MTAKATIFU
1. Yeye ni wa milele Waebrania 9:14
2. Uungu wa kila mahali Zaburi 139:1-10
3. Anazosifa za kuwa na nguvu zote Luka 1:35
4. Anajua yote 1 kor 2:10-11
5. Utendaji wake pamoja na Mungu Mwanzo 1:2 Ayubu 33:4
6. Anazaa upyaYohana 3:5-8
7. Anacheo sawa na Baba na Mwana1 kor 12:4-62
Wakorinto 13:14Mathayo 28:9 Ufunuo 1:4
No comments:
Post a Comment